Beki Gerard
Pique na kiungo Alex Song wameonekana wanazichapa mbele ya mshabiki wa Barcelona.
Wawili hao
walikuwa kama wanataniana lakini hali ilionekana kuzidi kuwa mbaya wakati Song
alipomchapa kofi Pique.
Ingawa taarifa
nyingine zimeeleza ulikuwa ni utani lakini nahodha Puyol na kipa Valdes
walionekana kufanya kazi ya ziada kuamua.
Bado Barcelona
haijazungumza kuhusiana na suala hilo ambalo limewashangaza wengi kwa kuwa Barcelona
walikuwa kwenye basi kufurahia ubingwa wao.
0 COMMENTS:
Post a Comment