HARUNA MOSHI ATUA COASTAL KWA MKATABA WA MWAKA 1 Haruna Moshi 'Boban' akisaini mkataba wa kujiunga na Coastal. Baada ya kutemwa na Wekundu wa Msimbazi Simba SC, Haruna Moshi 'Boban'amejiunga rasmi na Coastal Union ya mkoani Tanga kwa mkataba wa mwaka mmoja.
0 COMMENTS:
Post a Comment