MAZOEZI YA SIMBA SC USIPIME Pichani juu wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Kinesi uliopo Ubungo jijini Dar jana. Katika mazoezi hao mashabiki walifika kwa wingi kama inavyoonekana mbali na kuwa kulikuwa na kiingilio cha shilingi 1,000.
0 COMMENTS:
Post a Comment