Beki Juma Nyosso akisaini kuvunja mkataba wake wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki Simba mbele ya Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangäre au Mzee Kinesi na anatarajia kujiunga na Coastal Union ambayo hivi karibuni imemsajili kiungo nyota, Haruna Moshi Boban.
0 COMMENTS:
Post a Comment