Fainali ya mchezo wa tenisi
ya Wimbeldon Jumapili itakuwa kati ya Andy Murray dhidi
ya Novak Djokovic.
Murray ameingia fainali baada ya kuibuka
na ushindi katika nusu fainali ya pili dhidi ya Jerzy Janowicz.
Nusu fainali hiyo ya pili ya Waingereza
tupu, ilimalizika kwa Murray kushinda kwa seti 6-7, 6-4, 6-4, 6-3.
Mwisho wa ubishi utakuwa ni Jumapili na wawili hao wamekuwa na upinzani mkali wanapokutana.









0 COMMENTS:
Post a Comment