July 19, 2013

 
FERRER..
Muda mchache baada ya Barcelona kuthibitisha aliyekuwa kocha wake, Tito Vilanova ameachia ngazi, jina la kocha mpya limetangazwa.

Joan Francesc Ferrer ametangazwa kuwa kocha mpya wa Barcelona ingawa uongozi bado haujathibitisha ila imeelezwa ndiye amefanya mazungumzo na uongozi wa Barcelona.

Rais wa Barcelona, Sandro Rosell alithibitisha kuachia ngazi kwa Vilanova ili aendelee na matibabu ya ugonjwa wa kansa.

Vilanova alichukua nafasi ya Pep Guardiola aliyekuwa bosi wake kabla ya kuamua kujiunga na Bayern Munich ambayo ndiyo anaitumikia.


Imeelezwa hali ya Vilanova kuachia kazi kwa kushtuka kutokana na uamuzi huo wa Vilanova ambaye kuna wakati aliwaacha na kwenda kutibiwa nchini Marekani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic