Aston Villa imekata mzizi wa fitna baada ya kufanikiwa kumbakisha mshambuliaji wake nyota Christian Benteke.
Benteke ,22, amesaini mkataba miaka mine kuendelea kuichezea timu hiyo na kuzivunja nguvu timu zote zilizokuwa zikimuwania.
has performed a huge U-turn after deciding to withdraw his transfer request and sign an extended contract with Aston Villa.
Mbeligiji huyo mwenye miaka ,22, alikuwa akiwaniwa kwa juhudi na Spurs na picha inamuonyesha Kocha wa Villa, Paul Lambert amesema amefurahishwa na uamuzi wa mshambuliaji huyo kuamua kubaki na wataungana naye katika maandalizi ya msimu mpya watakapoweka kambi nchini Ujerumani.









0 COMMENTS:
Post a Comment