July 2, 2013




Pamoja na kuachwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast, beki Kolo Toure ametua leo katika klabu yake mpya ya Liverpool kuanza kazi.
 
NAHODHA GERRARD AKIWASILI...

Wachezaji asilimia 90 wa Liverpool leo wameanza mazoezi kwenye viwanja vya mazoezi vya timu hiyo vilivyo Melwood.

WACHEZAJI WENGINE..
KOCHA BRENDAN...

Kolo ambaye amejiunga na Liverpool akitokea Manchester City, alikuwa mchezaji wa kwanza kuwasili mazoezini leo asubuhi.

Beki huyo wa kati amepoteza nafasi katika kikosi cha Ivory Coast chini ya Kocha Sabri Lamouchi ambaye katika mahojiano yake na gazeti la Championi la Tanzania alisema nafasi yake ni finyu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic