Kocha
mpya wa Manchester City, Manuel Pellegrini amemchukua na kumuweka kwenye kikosi
cha kwanza mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo Andy Cole.
Cole
junior, 18, amepata nafasi hiyo ya kuungana na Man City katika ziara yake
kujiandaa na msimu mpya.
Ziara
hiyo nchini Afrika Kusini, itaanza Julai 14 na Man City itacheza na Supersport mjini
Pretoria kabla ya kuivaa AmaZulu katika mji wa ufukweni wa Durban, siku nne
baadaye.









0 COMMENTS:
Post a Comment