Wanyama
raia wa Kenya mwenye miaka 22 atakuwa akipokea mshahara wa pauni 30,000 (zaidi ya
Sh milioni 74).
Kiungo
huyo alikuwa anakipiga katika klabu ya Celtic ya Scotland na kaka yake
MacDonald Mariga ni kiungo wa Inter Milan ya Italia ambayo imempeleka kwa mkopo
Parma.








0 COMMENTS:
Post a Comment