July 8, 2013



Andy Murray amewachanga Waingereza kutokana na ushindi wake wa ubingwa wa tenisi wa Wimbledon.
Kocha wa zamani wa Man United, Alex Ferguson na kiungo za zamani wa timu hiyo, David Beckham wametuma salamu za pongezi kwa Murray kutokana na ushindi huo wa Murray dhidi ya Djokovic wa Serbia.

Kutokana na ushindi huo, Murray amepanda hadi namba moja nafasi ambayo mara mwisho waliishika miaka 77 iliyopita.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic