Leon Osman, Leighton Baines and Kevin Mirallas wakiwa na Matt Damon nyota wa filamu za action huko Hollywood walipokutana naye, picha ya chini unaona jamaa akiwa kwenye Uwanja wa Stamford Bridge alipokwenda kushuhudia mechi kati ya Chelsea na Arsenal, ilikuwa mwaka 2010.
0 COMMENTS:
Post a Comment