Bayern Munich imebeba
ubingwa wa Super Cup baada ya kuifunga Chelsea kwa mikwaju 5-4 ya penalty.
Katika muda wa kawaida
timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2 baada ya Chelsea kuanza kufunga katika
dakika ya nane tu kupitia Fernando Torres.
Mechi hiyo ilikwenda
hadi dakika 120 kabla ya kusogezwa kwenye mikwaju ya penalti. Kama Lukaku
angefunga mkwaju wa mwisho, Chelsea ingekuwa bingwa, lakini akapiga na kipa
Neuer akapangua.
Chini angalia vikosi
vilivyopangwa na wafungaji.
Bayern
Munich: Neuer, Rafinha (Javi Martinez 56), Dante, Boateng, Alaba, Muller
(Gotze 70), Lahm, Kroos, Ribery, Mandzukic, Robben (Shaqiri 95).
Subs: Starke, Van Buyten,
Contento, Pizarro.
Booked: Ribery
Goals: Ribery (47), Javi
Martinez (120)
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill,
Luiz, Cole, Ramires, Lampard, Hazard, Oscar, Schurrle, Torres (Lukaku 97).
Subs: Schwarzer, Azpilicueta,
Terry, Essien, Mikel, Mata.
Booked: Cahill, Ramires, Luiz,
Torres, Cole, Ivanovic
Sent
off: Ramires (84)
Goals: Torres (8) Hazard (93).
0 COMMENTS:
Post a Comment