KIKOSI KAMILI CHA YANGA KWA MSIMU WA 2018/19 HIKI HAPA
Kikosi kamili cha Yanga katika msimu wa 2018/19
MAKIPA
1. Klaus kindoki
2. Benno Kakolanya
3. Kabwili Ramadhani
4. Youthe Rostand
MABEKI
5. Abdallah Shaibu
6. Kelvin yondan
7. Juma Abdul
8. Haji Mwinyi
9. Gadiel Michael
10. Andrew vicent
11. Pato Ngonyani
VIUNGO
11. Papy kabamba
12. Thaban kamusoko
13. Jafary Mohammed
14. Mohammed Issa Banka
15. Raphael Daud
16. Pius Buswita
17. Maka Edward
18. Feisal Salum 'Fei Toto'
19. Deus kaseke
20. Emmanuel Martin
21. Juma Mahadhi
22. Said Mussa
23. Said Makapu
WASHAMBULIAJI
24. Matheo Anthony
25. Mrisho Khalfan Ngassa
26. Amis Tambwe
27. Ibrahim Ajibu
28. Heriter Makambo
29. Yusuph Muhilu
30. Paul Godfrey
Mwashiuya simwon'apo!!
ReplyDeleteMwashiuya kasajiliwa Singida United
DeleteKLABU YA YANGA INAHUJUMIWA YAANI KUNA "KIRUSI" PALE YANGA SIJUI NI NANI INAWEZEKANA MTANDAO HUU UMESUKWA KWA MUDA MREFU...UNAMUHUSISHA KOCHA MWINYI ZAHERA, HIVI HUYU KOCHA ATAWEZAJE KUKATAA BEKI AMBAYE ANAKUJA KUZIBA MAPENGO YA NAMBA 2 NA TANO? UNAACHA WACHEZAJI, HALAFU UNAPEWA BEKI MZIMBABWE BURE HALAFU UNAMKATAA...KWELI? HAYA UNAWAACHA WACHEZAJI AMBAO WAMEKUHUDUMIA MSIMU MZIMA KWA KUTOLIPWA MSHAHARA.....BADO HAUJAFANYA USAJILI WA KUZIBA MAPENGO YA WACHEZAJI WALIONDOKA...BEKI NAMBA 2 NA 5, WASHAMBULIAJI NAMBA 9, 10, 11, KIUNGO NAMBA 6....HALAFU UNATAKA WATANZANIA ASILIMIA 55% AMBAO NI WAPENZI WA KLABU WAJE UWANJANI, KUANGALIA TIMU IPI? NATABIRI MAPATO YA UWANJANI KUPOROMOKA, HAMASA YA KWENDA KWENYE MECHI KUPUNGUA....HATIMA YA SOKA LA TANZANIA KUPOROMOKA..
ReplyDeleteKwahiyo Kuboronga Kwa Yanga ndiyo Kuporomoma Kwa Soka la Tanzania sio?
DeleteAcheni Kujikweza Wakati Hamna Kitu mulichokifanya kikawa Cha Maana! Nyie Hata Mushuke Daraja basi Soka la Tanzania halitatetereka.
Yaani hatutaenda uwanjani
ReplyDeleteSija muona mzee wa kampa kampa ngoma?au tim manji
ReplyDeleteMchezaji wa ndani wa mwaka jana aliyeachwa ni Mwashiuya, Ngoma na Chirwa pamoja na Kessy ambae kaenda Nkana Rangers ya Zambia. Wachezaji kwa kiwango kikubwa wanaoingia uwanjani ni 11 wengine wengi ni kwa ajili ya mazoezi. Kikosi si kibaya sana. Kikosi kazi kina mtu kama Klaus Kindoki, Gadiel, Juma Abdul, Dante, Kelvn, Tshishimbi, Ngasa, Kaseke, Thaban, Makambo, Ajib. Nje wapo wa kutosha. Washabiki wengi wanawaza mechi ya Simba tu..wakati viongozi wanawaza mwakani hatuna mashindano makubwa. Inabidi wachezaji wengi waachwe lakn bila kuvunja mikataba zaidi ya kumaliza mikataba yao. Tuendelee kuwa wavumilivu wakaati tunajenga timu
ReplyDeleteMtasubiri Sana kushiriki mashindano ya kimataifa Kwan timu hii
ReplyDelete