Matajiri wa Ufaransa, PSG wamezidi
kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kuibuka na kuweka mezani dau kubwa la euro
milioni 40 wakitaka kumsajili Pedro wa Barcelona.
Dau hilo kubwa na la kushtukiza na
uongozi wa PSG umetangaza dakika chache zilizopita kwamba unataka kumsajili
Pedro.
Bado Barcelona haijasema lolote
kuhusiana na ofa hiyo ambayo kabla haikuwa imetegemewa kwamba PSG wangeitangaza
katika hatua za mwisho za usajili.
0 COMMENTS:
Post a Comment