August 5, 2013


Mshambuliaji nyota wa Man United, Wayne Rooney hatakuwemo katika kikosi cha timu hiyo kitakachocheza mechi ya kirafiki dhidi ya AIK ya Sweden.

Mechi hiyo inayopigwa jijini Stockholm, tayari ni gumzo kubwa lakini Rooney hatakuwemo katika kikosi.

Haijajulikana kwa nini Kocha David Moyes amemuondoa Rooney na kama kweli ameishataarifiwa.

Lakini kumekuwa na hofu huenda ameishaandika barua yake ya mwisho kutaka kuondoka Man United huku Chelsea wakimfukuzia kwa karibu.

1 COMMENTS:

  1. walichokifanya simba sio kitu chakujivunia kisoka!
    1.wamebadili kikosi eti kibaden asuke atakavyo ilihali anawowaleta nakuamini atafanyanao kazi hawajui mwafaka wao.
    2.usajili unaofanywa natimu kama hii haufurahishi katu,maana utasikia flani kasaini miaka miwili hii inamaana kwamba baada msimu mmoja tena watahtaji kumsainisha tena mchezaji yulule vngnevyo atajiunga na timu nyingine .
    3.simba imegubikwa nawimbi la kutema wachezaji kwahoja laini kabsa,mwishowasiku timu inaingia gharama kutafuta mchezaji mwingine kuziba pengo huku ikidaiwa kulipa fidia za uvunjaji mkataba,mfano nyoso beki mzuri japo hakosi kasoro kama binadam wengine,_kelvin nawengineo kama maftaaa amiry .
    NB..sima lazma ijue thamani ya wachezajiwake ilionao naiwatumie kamakunamapungufu mtu mwingine sawa asajiliwe ila siyo kusajili watu zaidi ya nusu ya timu hii niaibu!! naitabidi wanasimba tusubiri kuona simba nyingine ambayo hatunayo uhakika kama itahimili vishindo ligi kuu~~~by

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic