Mshambuliaji nyota wa Valenchia ya Hispania, Roberto Soldado amefuzu vipimo katika klabu ya Tottenham Hotspurs.
Soldado raia wa Hispania amefuzu vipimo hivyo saa moja lililopita jijini London, England na sasa yuko tayari kuichezea Spurs.
Spurs ilikuwa tayari kutoa pauni milioni 26 kumpata mshambuliaji huyo aliyewahi kumnyang’anya Fernando Torres namba katika kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Hispania.








0 COMMENTS:
Post a Comment