Arsene Wenger anaonekana kweli ni sugu, kwamba katika
kipindi cha usajili ameacha wachezaji 17 waondoke katika kikosi hicho na
kusajili mmoja tu.
Mmoja aliyemsajili ni kinda Yaya Sanogo ambaye pia ni
majeruhi, hivyo timu haikuongeza mchezaji hata mmoja mwenye uzoefu.
Hofu kubwa kwa mashabiki wa Arsenal ni katika mechi ya
ufunguzi wa Ligi Kuu England dhidi ya Aston Villa itakayochezwa Jumamosi.
KIKOSI
KIKO HIVI LAKINI BADO KUNA HOFU PIA YA MAJERUHI…
Kipa: Szczesny, Fabianski.
Mabeki: Mertesacker, Koscielny, Jenkinson, Gibbs, Vermaelen (majeruhi), Monreal (majeruhi), Sagna (i majeruhi).
Midfielders: Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Wilshere, Ramsey (hakuna uhakika), Cazorla (safari ndefu kutoka
Ecuador), Arteta (i majeruhi), Diaby (majeruhi), Frimpong*, Miyaichi (majeruhi).
Forwards: Podolski, Giroud, Walcott, Sanogo (majeruhi), Park*, Bendtner*.
*hawajawahi
kuwa na nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza mara kwa mara









0 COMMENTS:
Post a Comment