September 21, 2013


Kiungo mpya wa Real Madrid, Gareth Bale amepewa nafasi ya kupiga faulo kama ilivyo Cristiano Ronaldo.



Kocha Mkuu wa Madrid, Carlo Ancelotti amesema mchezaji huyo atakuwa akipiga baadhi ya faulo.

Ancelotti amesema anatambua umuhimu wa Bale katika upigaji faulo, hivyo kuna wakati atakuwa akipewa nafasi hiyo.
Kwa sasa mpigaji mkubwa wa faulo wa Madrid ni Ronaldo ambaye amekuwa tegemeo.

Kabla ya kutua Madrid, akiwa Spurs Bale alikuwa akipewa nafasi ya kupiga mikwaju ya ‘mipira iliyokufa’.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic