AC Milan imeichapa 2-0 Celtic katika mechi nzuri ya kuvutia.
Mshambuliaji wake Mario Balotelli alikuwa kati ya wachezaji waliong’ara katika mchezo huo kutokana na kuwa mwiba katika safu ya ulinzi ya Celtic ya Scotland.
Mabao ya AC Milan yalifungwa na Emilio Izaguirre ambaye alijifunga wakati akijaribu kuokoa na Sulley Ali Muntari akafunga la pili.
Zaidi mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilitawaliwa na wenyeji AC Milan.
0 COMMENTS:
Post a Comment