Mshambuliaji mpya wa Monaco, Radamel Falcao amefunga bao la mkwaju
wa penalti na kuipa timu yake nafasi ya kukaa kileleni kwa Ligi Kuu Ufaransa.
Mshambuliaji mpya wa Monaco, Radamel Falcao amefunga bao la mkwaju
wa penalti na kuipa timu yake nafasi ya kukaa kileleni kwa Ligi Kuu Ufaransa.
Falcao alifunga bao hilo na kuipa Monaco ushindi wa bao 1-0 dhidi
ya Lorient, leo.
Falcao, alijiunga na Monaco akitokea Atletico Madrid ya Hispania
kwa dau la pauni milioni 51.
Monaco iko kileleni baada ya kufikisha pointi 13 katika mechi tano
na nafasi ya pili wako St Etienne, wakati wapinzani wao wakubwa Paris St
Germain (PSG) baada ya kuifunga Girondins Bordeaux 2-0.

0 COMMENTS:
Post a Comment