Pamoja na kuwa katika migogoro kibao,
Wayne Rooney ameendelea kuonyesha ubora wake kwa kufunga mabao mawili wakati
Man United ikiivaa Beyer Leverkusen ya Ujerumani katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mabao hayo mawili yaliyoisaidia Man
United kuibuka na ushindi wa mabao 4-2, yamefanya Rooney afikishe mabao 200
aliyofunga tokea aanze kukipiga Man United.
Kufikisha kwake mabao 200 kumemuingiza
kwenye tano bora ya wakali wa kupachika mabao katika kikosi cha Man United huku
Jack Rowley anayeshika nafasi ya nne akiwa na mabao 211 ambayo huenda Rooney
akayapata hadi mwisho wa msimu huu.
Mechi
Mabao
Bobby
Charlton
758 249
Denis Law 404 237
Jack Rowley 424 211
Wayne Rooney 406 200
George Best 470 179
Dennis Viollet 293 179
Ryan Giggs 945 168
Joe Spence 510 168
Mark Hughes 467 163
Paul Scholes 718 155
Denis Law 404 237
Jack Rowley 424 211
Wayne Rooney 406 200
George Best 470 179
Dennis Viollet 293 179
Ryan Giggs 945 168
Joe Spence 510 168
Mark Hughes 467 163
Paul Scholes 718 155
0 COMMENTS:
Post a Comment