March 10, 2014


Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amesema sare ya suluhu dhidi ya Prisons haina maana kuwa Simba imekwama.


Akizungumza na SALEHJEMBE, Logarusic amesema bado Simba ina nafasi ya kufanya vizuri na ana imani na mabadiliko.
Hatuajapoteza mchezo lakini tumepoteza pointi mbili. Haina maana tumekwama na hatuwezi kuwania ubingwa au nafasi ya pili.

Bado kuna nafasi kama tutajirekebisha, ninaamini vijana wangu sasa wako katika nafasi nzuri na watafanya vizuri. Ni suala la muda na kujiamini tunaweza kufanya vema, alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic