Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ alimchakaza Mchina, Chengbo Zheng katika raundi ya kwanza tu, usiku wa kuamkia jana.
Pambano hilo la raundi 10 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, lilikuwa tamu sana. Pata taswira kidogo namna Mchina alivyokutana na kichapo.
0 COMMENTS:
Post a Comment