Tottenham na Swansea zimefanya vizuri baada ya kila moja kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika michuano ya Europa Cup.
Swansea waliibabua Valencia ya Hispania huku
Bonu Wilfred kutoka Ivory Coast, Michu na De Guzman wakicheka na nyavu.
Spurs walifanikiwa kuibuka na ushindi kama huo
huku mkongwe Dafoe akitupia mabao mawili na Eriksen akafunga la tatu.
Matokeo ya mechi nyingine za Kombe la Europa ni
kama yafuatavo;
0 COMMENTS:
Post a Comment