Mshambuliaji wa
Simba, Amissi Tambwe ameshindwa kujiunga na kambi ya timu yake kutokana na
kutokuwa fiti.
Tambwe amesema anashindwa kuingia kambini kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyama.
“Kweli ninajisikia maumkivu hivyo nasubiri kupata matibabu,” alisema Tambwe, leo.
“Nitasikiliza daktari anasema vipi ili nijue matibabu yangu na lini nitarudi uwanjani.”
Tambwe ndiye amekuwa tegemeo la ushambuliaji katika kikosi cha Simba.
Anaogoza msimamo wa ligi kwa kuwa na mabao sita ikiwa ni baada kufunga mabao manne katika mechi moja.

0 COMMENTS:
Post a Comment