September 15, 2013




Mchezo wa Ligi Kuu Bara katika ya Yanga na Mbeya City jana uliingiza kiasi cha Sh Milioni 100.

Watu 20,000 waliingia kwenye Uwanja  wa Sokoine katika mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya mabao 1-1.


Kati ya hizo, Sh. Milioni 18 ni makato ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), gharama za tiketi Milioni 37, ghrama za Uwanja Milioni 6, MREFA wamepata Milioni 2.5, TFF Milioni 3.5, Kamati ya Ligi Milioni 7,  na kila timu imepata Sh. Milioni 23.6.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic