Kucheza na wanajeshi si kazi lahisi,
kiungo wa Yanga, Simon Msuva anaweza kuthibitisha hilo.
Katika mechi ya jana dhidi ya Rhino ya
Tabora kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, Msuva likumbana na wakati dhidi ya mabeki wa
Rhino ambayo ni timu ya jeshi.
Pamoja na ushindi wa mabao 3-0, lakini
mabeki hao walikuwa wanacheza kibabe ile mbaya.
Kazi ya jeshi kweli, beki huyo mara
kadhaa alikuwa akimrusha Msuva na picha zinaonyesha jamaa alivyokuwa noma.
0 COMMENTS:
Post a Comment