MBOGO AKIMTHIBITI NGASSA |
Beki wa Yanga, Ladislaus Mbogo ambaye
anakipiga kwa mkopo Rhino ya Tabora alionyesha sasa amebadilika na mambo
yanakwenda kijeshi.
Mbogo alicheza kazi ile mbaya katika
mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga, jana.
Pamoja na Yanga kushinda kwa mabao 3-0,
huku Mrisho Ngassa aking’ara lakini beki huyo alionyesha ubabe wa kijeshi
utafikiri naye ni mwanajeshi.
Wakati mwingine mguu alikuwa anapandisha
hadi kwenye mabega ya washambuliaji wa Yanga. Angalia mwenye akimdhibiti
Ngassa.
0 COMMENTS:
Post a Comment