Wasanii wa kundi la Wakali dancers wakitoa burudani kwa wakazi
wa Mwanza ktk
baa ya New Shokeni Pub jana tar 23/10/13. Ni ktk kampeni ya NANI MTANI JEMBE
kupiti bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
|
Shabiki wa timu ya Simba akiandaliwa na MC Prezoo ili aweze
kupiga penati ktk
kampeni za NANI MTANI JEMBE jijini Mwanza ktk baa ya New Shokeni Pub.
|
Mashabiki wa Simba wakikumbatiana kwa furaha baada ya kushinda
ktk
zoezi la kuvuta kamba, ni ktk NANI MTANI JEMBE ni New Shokeni Pub jana.
|







0 COMMENTS:
Post a Comment