October 23, 2013

SHABIKI WA SIMBA AKIFURAHIA BAADA YA KUSHINDA ZAWADI  KATIKA KAMPENI ZA "NANI MTANI JEMBE" MARA BAADA YA KUFANIKIWA KULENGA VIZURI LANGO.
SHABIKI WA YANGA AKIFURAHIA ZAWADI ALIYOIPATA KATIKA KAMPENI ZA "NANI MTANI JEMBE".
MHUDUMU WA KAMPENI ZA "NANI MTANI JEMBE" AKIMWELEKEZA SHABIKI NAMNA YA KUTUMA NAMBA ZILIZO KATIKA KIZIBO CHA BIA YA KILIMANJARO. 
MAGARI YA KAMPENI ZA "NANI MTANI JEMBE" YAKIKATIZA KATIKA JIJI LA MBEYA KWA MBWEMBWE KABISA.
WASANII WA KIKUNDI CHA CHICHARITO WAKIWAPAGAWISHA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KUPITIA KAMPENI ZA "NANI MTANI JEMBE" ZILIZOFANYIKA KWA UFANISI NA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEHEMU MBALIMBALI ZA JIJINI LA MBEYA. HAPA ILIKUWA NI KATIKA BAA YA FREE PARK JIJINI HUMO.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic