Azam imezidi kujikusanyia pointi muhimu
baada ya kuishinda JKT Oljoro ikiwa kwao kwa kuichapa kwa bao 1-0,bao likifungwa na Hamis Mcha kwa mpira wa adhabu.
Wakati Azam ikipata ushindi hao,
Coastal Union imeendelea kusuasua baada ya kushindwa kwa mabao 1-0 na Kagera
Sugar ikiwa nyumbani Mkwakwani.
Ashanti United iliyokuwa inaonekana ni
kibonde, halafu ikaibuka na kushinda mechi mbili mfululizo, leo imetoka sare ya
mabao 2-2 na Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar.
MATOKEO YOTE YA LIGI KUU BARA LEO:
Ashanti
2 v Shooting 2
Oljoro 0 v Azam FC 1
Mbeya
City 1 v JKT 0
Mtibwa
4 v Mgambo 1
Coastal
0 v Kagera Sugar 1
0 COMMENTS:
Post a Comment