Real Madrid imeendeleza ushindi katika
La Liga baada ya kuichapa Malaga kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wake wa Santiago
Bernabeu jijini Madrid.
Mabao ya Madrid yalifungwa na Di Maria
katika dakika ya 46 ikiwa ni baada ya timu hizo kwenda mapumziko bila ya mabao.
Wakati wengi wakiamini matokeo ni 1-0 na
Malaga wakionyesha juhudi za kusawazisha, Cristiano Ronaldo akawamaliza wageni
wao kwa mkwaju wa penalty na kufunga bao la pili.
Real
Madrid: Diego Lopez; Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo; Khedira, Illarmendi,
Di Maria (Jese 83), Isco (Modric 74), Ronaldo; Morata (Bale 76)
Subs
not used: Casillas, Casemiro, Arbeloa, Nacho
Booked: Carvajal
Goals: Di Maria, 47, Ronaldo 90
(pen)
Malaga: Cabellero; Gamez,
Sanchez, Weligton, Antunes (Darder 78); Portillo (Santa Cruz 78), Camacho,
Tissone, Eliseu; Samuel (Anderson 72), El Hamdaoui
Subs
not used: Kameni, Morales, Duda, Chen
Booked: Antunes, Eliseu,
Sanchez, Weligton
0 COMMENTS:
Post a Comment