Samuel
Eto’o ameibuka na kuifungia Chelsea bao moja huku akisababisha moja wakati
ilipoibuka na ushindi wa mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Cardiff.
Katika
mechi hiyo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, Eto’o alifunga bao la pili baada
ya Hazard ambalo alilisababisha yeye. Mabao mengi yalifungwa na Oscar na Hazard
tena.
Arsenal
nao wakaichakaza Norwich kwa idadi kama hiyo huku Mesut Ozil akipiga bao mbili
na mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Aaron Ramsey na Jack Wilshere.
Mabingwa
Manchester United wameendelea kuchechemea baada ya kutoka sare ya bao 1-1
wakiwa nyumbani Old Trafford dhidi ya Southampton.
MATOKEO
YOTE YA PREMIERSHIP LEO..
Stoke
City 0 v Wes Brom 0
Sanswea
4 v Sunderland 0
Everton
2 v Hull 1
Arsenal
4 v Norwich 1
Chelsea
4 v Cardiff 1
Newcastle
2 v Liverpool 2
0 COMMENTS:
Post a Comment