October 23, 2013

MPIRA UMEKWISHAAAAA..
dK 90, Kiiza anakosa tena bao baada ya kipa kutema shuti la Nizar lakini anashindwa kufunga.
GOOOO..Dk 81, Kiiza anaifungia Yanga bao la tatu baada ya pasi mbili ya Ngassa.



Dk 78, David Luhende anaumia, anatolewa na nafasi yake inachukuliwa na Oscar Joshua.
GOOO..Dk ya 73, Frank Domayo anaifungia Yanga bao la pili baada ya kupokea pasi safi ya Ngassa aliyewachambua mabeki wawili wa Rhino.


Dakika ya 71, Kiiza tena anapoteza nafasi ya kufunga baada ya krosi safi ya Ngassa.
&&&&&
Yanga inaongoza kwa bao 1 lililofungwa na Hamis Kiiza katika dakika ya 12 ya mchezo.


Hata hivyo Yanga imekuwa ikipoteza nafasi nyingi mfululizo kupitia Simon Msuva na Hamis Kiiza.

Dakika 59..Yanga imemtoa Msuva na nafasi yake imechukulia na Niza Khalfan

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic