MPIRA UMEKWISHAAAAA...
Mechi kati ya Simba dhidi ya Wagosi wa Kaya Coastal Union inaendelea kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Mechi kati ya Simba dhidi ya Wagosi wa Kaya Coastal Union inaendelea kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Hata hivyo, hadi sasa hakuna timu
iliyopata bao na timu zinashambuliana kwa zamu.
Coastal Union ndiyo wamefanya wamefanya
mashambulizi mengi zaidi.
Lakini Simba wamekuwa imara katika safu
ya kiungo ulinzi kupitia Joseph Owino na Gilbert Kaze.
0 COMMENTS:
Post a Comment