Manchester United imefanikiwa kumbakiza
kundini kinda mwenye maajabu, Adnan Januzaj kwa kumsainisha mkataba wa miaka
mitano.
Januzaj ,18, raia wa Ubelgiji amekubali
kubaki na kuendelea kuichezea Manchester United kwa miaka mingine mitano.
Kocha Moyes ameonekana ni mwenye furaha
kubwa kwa kufanikiwa kumbakiza kinda huyo aliyefunga mabao mawili ya ushindi
wakati United ilipoishinda Sunderland.
0 COMMENTS:
Post a Comment