Sergio Aguero
amefunga mabao mawili na Alvaro Negredo
akitupia moja na kuipa Manchester City ushindi wa kwanza wa Premiership nje ya
nyumbani.
Man City imeibuka na
ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya West Ham ambayo safu yake ya ulinzi
ilijichanganya kupita kiasi katika mechi hiyo.
West Ham: Jaaskelainen 8; Demel 6
(O'Brien 65), Tomkins 6, Reid 6, Rat 6; Downing 6, Noble 7, Nolan 6 (Petric
82), Vaz Te 7 (Jarvis 65), Morrison 6; Diame 6.
Subs
not used: Adrian,
Taylor, Carlton Cole, Joe Cole
Manchester
City: Hart
6; Richards 7, Javi Garcia 7, Nastasic 7, Clichy 6; Toure 7, Fernandinho 7;
Nasri 7 (Milner 74), Negredo 7 (Kolarov 66), Silva 8; Aguero 8 (Jovetic 81).
Subs
not used: Zabaleta,
Lescott, Dzeko, Pantilimon
Man
of the match: Sergio
Aguero
Referee: Michael Oliver
0 COMMENTS:
Post a Comment