Sherehe za ushindi wa Jamal Malinzi kuwa
Rais mpya wa TFF zimeanza.
Wapambe wake wanashangilia kutokana na
ushindi wa Malinzi ambao ni kura 73 kwa 52 alizopata Athumani Nyamlani.
Wakati kwa upande wa makamu wa Rais,
Iman Madega amepata kura 6, Nassib Ramadhani amepata kura 52 na mshindi Wallace
Karia amepata 67.
Blogu hii ndiyo ilikuwa ya kwanza
kuandika kuhusiana na ushindi huo wa Malinzi.
0 COMMENTS:
Post a Comment