November 18, 2013





Vijana wa Simba wanaofundishwa na Kocha Selemani Matola wamewatungua JKT Oljoro katika michuano ya Uhai Cup inayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar.
 
Mechi hiyo iliyokuwa kali na ya kuvutia, Simba walitawala zaidi katika kipindi cha kwanza na kufunga mabao yao yote matatu.

Mabao ya Simba yalifungwa na Ibrahim Hagib dakika ya 27 na 42 na Miraji Athumani katika dakika ya 48.

Kipindi cha pili, kiasi fulani Oljoro walionekana kubadilika lakini bado walishindwa kuuhimili muziki wa Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic