December 1, 2013





Fulham imemfuta kazi kocha wake Martin Jol na hiyo inatokana na kipigo cha jana kutoka kwa West Ham, jana.


Fulham imepoteza mechi sita mfululizo hali iliyosababisha uongozi wa Fulham kumtupia virago vyake.

Uongozi wa klabu hiyo umetangaza Rene Meulenstee, huyu alikuwa ni msaidizi wake ambaye sasa anakuwa bosi.
Dalili zilianza kuonyesha kuanzia wiki iliyopita kuwa kocha huyo mzoefu safari ilikuwa imemkuta.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic