Mshambuliaji
Emmanuel Okwi dakika chache baada ya
kutua kwenye Uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINA),
leo.
Kwa mara ya kwanza historia imenaidikwa baada ya Okwi aliyekuwa mchezaji kipenzi zaidi cha mashabiki wa Simba, kujiunga na Yanga na hapa anaonekana akiwa amevaa jezi ya rangi za njano na kijani za Yanga.
Hapa
Okwi akiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Abdallah Bin Kleb na
Katabaro aliyeshughulikia usajili wake kwa karibu sana.
Viongozi
hao walikuwa kati ya waliojitokeza kumpokea wakati amewasili dakika chache
zilizopita.
Sasa
msafara bado uko njiani na kuna taarifa huenda wakapita klabu au la. Endelea kufuatilia.
karibu sana ila inabidi ufanye kazi kwa bidii ili uisaidie yanga kimataifa
ReplyDeleteMfa maji huyo nyi mtaona wenyewe
ReplyDelete