January 7, 2014





Mpenzi mtangazaji wa runinga wa kipa nyota wa Real Madrid Iker Casillas amejifungua.

 
Sara Carbonero amejifungua mtoto wa kiume na kwa pamoja yeye na mpenzi wake Casillas, wamempa jina la Martin.
Casillas ameweka picha kwenye mtandao wake binafsi na kumkaribisha Martin.
“Karibu kwenye dunia yangu Martin.” Aliandika Casillas.
Casillas na Sara wamekuwa wapenzi wa muda mrefu na kipa huyo amesema ujio wa Martin ni bonge la zawadi wakati wa Krismasi na mwaka mpya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic