Atletico Madrid imekubali kumrudisha
mshambuliaji wake wa zamani, Diego katika kikosi chake.
Wolfsburg ya Ujerumani ndiyo imekubali
kumuachia kwa mkopo naye amekubali.
Taarifa zinasema ndani ya siku mbili,
Diego ataanza mazoezi na timu yake hiyo ya zamani na mkopo wake hadi Juni mwaka
huu.
0 COMMENTS:
Post a Comment