Mswiss, Stanislas Wawrinka ameibuka na
ushindi wa Grand Slam kwa kumchapa mkali Rafael Nadal na kutwaa Australian
Open.
Wawrinka ambaye ameonyesha kiwango cha
juu kabisa tokea kuanza kwa michuano hiyo.
Wawrinka allimchapa Nadal kwa seti 6-3 6-2
3-6 6-3
0 COMMENTS:
Post a Comment