|
WACHEZAJI WA YANGA LEO ALFAJIRI KABLA YA KUONDOKA JIJINI DAR KWENDA UTURUKI, HAPA WALIKUWA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE. |
Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wametua
salama katika mji wa Antalya nchini Uturuki.
Yanga imewasili mjini humo leo jioni
ikitokea Dar es Salaam kupitia Istambul.
Kikosi hicho chenye wachezaji 27 na
maofisa 23, kinatarajia kuanza mazoezi kesho.
|
BAHANUZI |
|
KAVUMBAGU |
|
TEGETE |
Baadhi ya wachezaji wamesema wamefika
salama lakini walikuwa wakisumbuliwa na uchovu wa safari.
Yanga itakuwa mjini humo kuweka kambi ya
wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
Hii ni mara ya pili kwa misimu miwili mfululizo Yanga kuweka kambi mjini humo ingawa ni sehemu tofauti.
Ilifanya hivyo ikiwa chini ya Kocha Ernie Brandts na iliporejea nchini ikatwaa ubingwa wa Tanzania Bara.
|
MSEMAJI, KIZUGUTO |
|
NIZAR |
|
MKWASA NA TWITE |
|
KIIZA NA CANNAVARO |
|
CANNAVARO, KIIZA&OKWI |
|
NGASSA 'ANKOL' |
|
DOMAYO NA 'MFANYABIASHARA' JOSHUA |
0 COMMENTS:
Post a Comment