AKIWA NDANI YA VAZI HILO |
Beki wa Manchester United, Chris
Smalling ameomba radhi kutokana na kuonekana akiwa amevaa vazi kama mtu
anayetaka kujilipua.
Smalling alionekana akiwa na
vazi hilo katika gazeti la The Sun la Alhamisi.
SMALLING AKIWA KAZINI NA MAN UNITED |
Inaelezwa picha hiyo
ilipigwa akiwa nyumbani kwake katika sherehe ambayo watu walikuwa wakivaa
mavazi ya kutanianiana.
Hivyo alisisitiza hakuwa
siriaz, lakini akaomba asamehewe kama aliwakwaza baadhi ya watu kutokana na
vazi hilo.
0 COMMENTS:
Post a Comment