|
NGASSA NA NIYO |
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga kimewasili leo mchana kikitokea Comoro ambako kimeibutua Komorozine mabao 5-2.
Kikosi hicho kilitua Uwanjana wa ndege wa JNIA Saa 8 na nusu na kufanikiwa kumaliza ukaguzi
uwanjani hapo saa moja baadaye na wachezaji walianza kutoka uwanjani hapo kuingia kwenye basi lao.
Mrisho Ngassa aliyepiga hat trick alikuwa mmoja wa wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha Yanga kilichotua nchini.
Yanga sasa itawavaa mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika mechi inayotarajiwa kupigwa Machi Mosi jijini Dar.
|
MSUVA NA DIDA |
|
KOCHA VAN DER PLUIJM |
|
SEIF MAGARI ALIKUWEPO KUWAPOKEA VIJANA WAKE |
|
BARTHEZ NA JOSHUA |
|
DIDA, MSUVA NA DK SUFIANI |
|
LUHENDE NA NIYO |
|
TWITE NA JUMA ABDUL |
0 COMMENTS:
Post a Comment