Shuti la Gareth Bale wakati
alipofunga bao katika mechi ya La Liga, lilikuwa na kasi ya kilomita 100.5 kwa
saa.
Shuti hilo alipiga wakati Real Madrid
ilipoivaa Elche jana na kuibuka na ushindi wa mabao 3-0.
Bale alifunga moja ya mabao hayo
matatu na alipiga shuti hilo kali nje ya 18 na kufunga.
Bale ndiye mchezaji ghali zaidi
duniani kwa kipindi hiki.
0 COMMENTS:
Post a Comment