Barcelona imemaliza ubishi kwa waliokuwa
wanasema imekwisha, kwa kuichapa Manchester City kwa mabao 2-0 nyumbani kwao
Etihad.
Katika mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya iliyomalizika hivi punde, mabao ya Barca yalifungwa na Lionel Messi kwa
mkwaju wa penalti baada ya kuangushwa na kipindi cha pili mwisho, Dani Alves
akafunga la pili kwa kumpiga ‘tobo’ kipa wa Man City.
Vikosi:
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Demichelis,
Clichy, Jesus Navas, Fernandinho, Toure, Kolarov, Silva, Negredo.
Subs: Pantilimon, Richards, Lescott, Nasri, Dzeko, Javi
Garcia, Jovetic.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Mascherano,
Jordi Alba, Xavi, Busquets, Fabregas, Alexis, Messi, Iniesta. Subs:
Pinto, Pedro, Neymar, Bartra, Song, Adriano, Sergi Roberto.
Referee: Jonas Eriksson (Sweden).
0 COMMENTS:
Post a Comment